Compartir
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu (en Swahili)
Kamanzi, Galasius B. ; Schmidt, Peter R. (Autor)
·
Mkuki na Nyota Publishers
· Tapa Blanda
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu (en Swahili) - Kamanzi, Galasius B. ; Schmidt, Peter R.
Libro Nuevo
Importado
Envío: 14 a 19 días háb.
$ 5.139$ 2.826
Costos de importación incluídos en el precio ✅
Reseña del libro "Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu (en Swahili)"
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903-1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa simulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambach kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie kwa mara ya kwanza wasomi wengi.
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
- 0% (0)
Todos los libros de nuestro catálogo son Originales.
El libro está escrito en Swahili .
La encuadernación de esta edición es Tapa Blanda.
✓ Producto agregado correctamente al carro, Ir a Pagar.